Pamoja
na serikali kuwa na program na mikakati mbalimbali iliyolenga
kuwawezesha wananchi wenye vipato vya chini kupitia Baraza la Taifa la
uwezeshaji wananchi kiuchumi lililoundwa kwa sheria Na 16 ya mwaka
2004.likiwa na dhamana ya kusimamia,kuratibu shughuri zote za uwezeshaji wananchi.
Mfano 1.mfuko wa wajasiriamari 2.mfuko wa maendeleo ya vijana
3.mabilioni ya Jk, 4.mfuko wa uwezeshaji wananchi kiuchumi 5.mfuko wa
uwezeshaji wa wajasiriamari 6.mfuko wa maendeleo ya vijana 7.mfuko wa
pembejeo za kilimo 8.mfuko wa wanawake 9.mfuko wa uwezeshaji wa
wajasiriamari wadogo wadogo 10.mfuko wa maendeleo ya jamii. n.k
Lakini bado vijana wengi wameonekana wakizurura mitaani na kuweka vigenge visivyokuwa na faida kwa siku nzima.....
Unahisi tatizo ni nini juu ya vijana hawa wanao penda kukaa vijiweni na kupiga story kuliko kujishughulisha hata kwa kupata kipato kidogo.....?
Tuma maoni yako na ushauri wako chini ya picha hizi kisha sikiliza MORNING SPICE ya KIANGO RADIO kesho tar. 27/January kuanzia saa Moja mpaka saa Nne asubuhi, ili kusikiliza maoni yako yakisomwa na kuwafikia vijana hao....
MORNING SPICE ya KIANGO RADIO... kuanzia saa moja mpaka saa nne asubuhi.... Usikoseeeeee......!!!! KIANGO RADIO... http://ustre.am/1e2Y9

No comments:
Post a Comment
unaweza kuwasiliana nasi kwa no 0689578487 whatsapp kwa no hiyo hiyo