Saturday, January 24, 2015

BEN PAUL NA PAUL CLEMENT NANI ALIMFUATA MWENZAKE ???????


Kwa haraka haraka ukiwa unatamka unaweza ukatamka Ben Paul wakati lengo lako lilikuwa ni kutamka Paul Clement... Unaweza kujihisi umekosea endapo ukitafakari majina hayo lakini ukweli ndio huu....

Akiwa na kipaji cha uimbaji lakini bado alikuwa hajajitambua, alitumia nafasi aliyoipata pale alipokutana na Ben Paul.... Wanamuziki hawa wawili waliamua kuchanganya nguvu na kuanza kushambulia matumizi ya vipaji vyao mpaka pale walipoona sasa yafaa kuanza kutumia vipaji hivyo kwa jamii inayo wazunguka...

Mwanzoni ilikuwa ni jambo la kawaida kwa Paul Clement kukutana na Ben Paul na kuwa marafiki lakini ukawaida uliisha pale walipojikuta wote wana matumizi yenye kufanana juu ya talanta walizopewa.....

 
 SWALI...!!
Nani alimtafuta mwenzake...? Nani alikuwa mwalimu wa mwenzake...? Na walikuwa wakijifunza kwa muziki wa aina gani...? (Secular au Gospel)....?

JIBU...!!
Hapo mwanzoni wakati Paul yuko sekondari...... (Itaendele....)

No comments:

Post a Comment

unaweza kuwasiliana nasi kwa no 0689578487 whatsapp kwa no hiyo hiyo